-
Mathayo 8:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 Lakini ilipofika jioni, watu walimletea watu wengi walioingiwa na roho waovu; naye akawafukuza hao roho kwa neno moja, naye akawaponya wote waliokuwa na hali mbaya;
-
-
Mathayo 8:16Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
16 Lakini baada ya kuwa jioni, watu walimletea watu wengi waliopagawa na roho waovu; naye akafukuza hao roho kwa kusema neno, naye akaponya wote waliokuwa na hali mbaya;
-