Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Marko 1:35-38
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 35 Asubuhi na mapema, kulipokuwa bado na giza, akaamka na kutoka nje, akaenda mahali pasipo na watu, naye akaanza kusali.+ 36 Hata hivyo, Simoni na wenzake wakamtafuta sana, 37 na walipompata wakamwambia: “Kila mtu anakutafuta.” 38 Lakini akawaambia: “Twendeni mahali pengine, katika miji iliyo karibu, ili nihubiri huko pia, kwa maana nilikuja kwa kusudi hilo.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki