9 Yesu alipokuwa akiondoka mahali hapo akamwona mtu aliyeitwa Mathayo akiwa ameketi kwenye ofisi ya kodi, akamwambia: “Njoo uwe mfuasi wangu.” Mara moja akasimama na kumfuata.+
14 Alipokuwa akipita, akamwona Lawi mwana wa Alfayo akiwa ameketi kwenye ofisi ya kodi, akamwambia: “Njoo uwe mfuasi wangu.” Mara moja akasimama na kumfuata.+