-
Marko 2:14Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
14 Lakini alipokuwa akipita kandokando, akaona mara hiyo Lawi mwana wa Alfayo akiwa ameketi kwenye ofisi ya kodi, naye akamwambia: “Uwe mfuasi wangu.” Na akiondoka akamfuata.
-