-
Mathayo 8:8, 9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Ofisa huyo akamjibu: “Bwana, sistahili uingie ndani ya nyumba yangu, lakini sema tu neno na mtumishi wangu atapona. 9 Kwa maana mimi pia niko chini ya mamlaka, na nina wanajeshi walio chini yangu, nami humwambia mmoja, ‘Nenda!’ naye huenda, na mwingine, ‘Njoo!’ naye huja, na mtumwa wangu, ‘Fanya hili!’ naye hulifanya.”
-