-
Mathayo 8:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Ofisa huyo akamjibu, akasema: “Bwana, mimi sistahili hivi kwamba wewe uingie chini ya paa yangu, lakini sema neno tu na mtumishi wangu atapona.
-
-
Mathayo 8:8Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
8 Kwa kujibu huyo ofisa-jeshi akasema: “Bwana, mimi si mtu mwenye kustahili kwamba wewe uingie chini ya paa yangu, lakini liseme neno tu na mtumishi wangu mwanamume ataponywa.
-