Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Marko 5:18-20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 Alipokuwa akipanda mashua, yule mtu aliyekuwa na roho waovu akaanza kumsihi aende pamoja naye.+ 19 Hata hivyo, hakumruhusu, bali alimwambia: “Nenda nyumbani kwa watu wako wa ukoo, ukawaambie mambo yote ambayo Yehova* amekufanyia na jinsi alivyokuonyesha rehema.” 20 Mtu huyo akaenda zake akaanza kutangaza katika Dekapoli* mambo yote ambayo Yesu alimfanyia, na watu wote wakashangaa.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki