Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 10:37
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 37 Yeyote anayempenda baba au mama kuliko anavyonipenda hanistahili; na yeyote anayempenda mwana au binti kuliko anavyonipenda hanistahili.+

  • 1 Wakorintho 9:24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 Je, hamjui kwamba wakimbiaji wote katika mbio hukimbia, lakini ni mmoja tu anayepokea tuzo? Kimbieni kwa njia itakayowawezesha kushinda tuzo.+⁠

  • Wafilipi 3:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Akina ndugu, sijioni kuwa tayari nimelishika hilo; lakini jambo moja ni hakika: Ninayasahau mambo ya nyuma+ na kujinyoosha kuelekea mambo yaliyo mbele,+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki