Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Zaburi 49:16-19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 Usiogope mtu anapotajirika,

      Fahari ya nyumba yake ikiongezeka,

      17 Kwa maana akifa hawezi kwenda na kitu chochote;+

      Fahari yake haitashuka shimoni pamoja naye.+

      18 Kwa maana wakati wa maisha yake anajipongeza mwenyewe.+

      (Watu hukusifu unapopata ufanisi.)+

      19 Lakini mwishowe hujiunga na kizazi cha mababu zake.

      Hawataona nuru tena kamwe.

  • Methali 27:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 27 Usijigambe kuhusu kesho,

      Kwa maana hujui siku italeta nini.*+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki