Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 12:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Akawaambia: “Ukiwa na kondoo mmoja, naye kondoo huyo atumbukie shimoni siku ya Sabato, je, kuna yeyote kati yenu ambaye hatamshika na kumtoa humo?+

  • Luka 13:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Hata hivyo, Bwana akajibu: “Wanafiki,+ je, kila mmoja wenu hamfungui ng’ombe au punda wake kutoka kwenye kibanda siku ya Sabato na kumpeleka akanywe maji?+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki