7 Lakini yule aliye ndani amjibu: ‘Acha kunisumbua. Tayari mlango umefungwa, nami na watoto wangu tumelala. Siwezi kuamka nikupe chochote.’ 8 Ninawaambia ingawa hataamka na kumpa chochote kwa sababu yeye ni rafiki yake, kwa hakika ataamka na kumpa kwa sababu anaendelea+ kumwomba.