-
Luka 11:7Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
7 Na huyo wa kutoka ndani asema kwa kujibu, ‘Koma kunisumbua. Mlango tayari umefungwa kwa kufuli, na watoto wangu wachanga wapo pamoja nami kitandani; siwezi kuamka nikupe wewe kitu chochote.’
-