-
Luka 11:7Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
7 Lakini yule aliye ndani amjibu: ‘Acha kunisumbua. Tayari mlango umefungwa, nami na watoto wangu tumelala. Siwezi kuamka nikupe chochote.’
-
-
Luka 11:7Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
7 Na huyo wa kutoka ndani asema kwa kujibu, ‘Koma kunisumbua. Mlango tayari umefungwa kwa kufuli, na watoto wangu wachanga wapo pamoja nami kitandani; siwezi kuamka nikupe wewe kitu chochote.’
-