Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Matendo 11:28
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 28 Mmoja wao aitwaye Agabo+ akasimama na kutabiri kupitia roho kwamba njaa kubwa ilikuwa karibu kutokea juu ya dunia yote inayokaliwa,+ na kwa kweli ilitokea wakati wa Klaudio.

  • Ufunuo 6:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Nami nikaona, na tazama! farasi wa rangi ya kijivu, na yule aliyeketi juu yake alikuwa na jina Kifo. Na Kaburi* lilikuwa likimfuata kwa ukaribu. Nao wakapewa mamlaka juu ya sehemu ya nne ya dunia, ili kuua kwa upanga mrefu na kwa upungufu wa chakula+ na kwa ugonjwa hatari na kwa wanyama wa mwituni wa dunia.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki