Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Matendo 21:10, 11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Lakini baada ya kukaa huko kwa siku kadhaa, nabii aliyeitwa Agabo+ akashuka kutoka Yudea. 11 Akaja mahali tulipokuwa akachukua mshipi wa Paulo, akajifunga miguu na mikono na kusema: “Hivi ndivyo roho takatifu inavyosema, ‘Wayahudi kule Yerusalemu watamfunga+ hivi mwanamume ambaye mshipi huu ni wake, nao watamtia mikononi mwa watu wa mataifa.’”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki