Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yohana 5:37
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 37 Naye Baba aliyenituma ametoa ushahidi kunihusu.+ Ninyi hamjasikia sauti yake wakati wowote wala kuona umbo lake,+

  • 2 Petro 1:17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 Kwa maana alipokea kutoka kwa Mungu Baba heshima na utukufu alipoambiwa maneno kama haya* kwa utukufu wenye fahari: “Huyu ni Mwanangu, mpendwa wangu, ambaye mimi mwenyewe nimemkubali.”+

  • 1 Yohana 5:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Tukikubali ushahidi wa wanadamu, ushahidi wa Mungu ni mkuu zaidi. Kwa sababu huu ndio ushahidi ambao Mungu hutoa, ushahidi ambao ametoa kumhusu Mwana wake.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki