Marko 8:23 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 23 Yesu akamshika mkono yule kipofu, akampeleka nje ya kijiji. Kisha akamtemea mate machoni,+ akaweka mikono juu yake na kumuuliza: “Je, unaona kitu chochote?”
23 Yesu akamshika mkono yule kipofu, akampeleka nje ya kijiji. Kisha akamtemea mate machoni,+ akaweka mikono juu yake na kumuuliza: “Je, unaona kitu chochote?”