-
Marko 8:23Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
23 Naye akimshika mkono yule mtu aliye kipofu, akamleta nje ya kijiji, na, akiisha kutema mate juu ya macho yake, Yesu akaweka mikono juu yake na kuanza kumuuliza: “Je, unaona kitu chochote?”
-