-
1 Samweli 17:34, 35Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
34 Ndipo Daudi akamwambia Sauli: “Mimi mtumishi wako nimekuwa nikichunga kondoo wa baba yangu, na simba+ akaja, na pia dubu, na kila mmoja wao akamchukua kondoo kutoka kundini. 35 Nilimfuata, nikamuua na kumwokoa kondoo kutoka kinywani mwake. Aliporuka ili kunishambulia, nilimkamata manyoya yake,* nikampiga, na kumuua.
-