Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yohana 9:6, 7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Baada ya kusema mambo hayo, akatema mate chini akafanyiza tope kwa mate, na kumpaka mtu huyo kwenye macho+ 7 na kumwambia: “Nenda ukanawe katika dimbwi la Siloamu” (linalotafsiriwa kuwa “Aliyetumwa”). Naye akaenda na kunawa, akarudi akiwa anaona.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki