Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yohana 12:4-6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Lakini Yuda Iskariote,+ mmoja wa wanafunzi wake aliyekuwa karibu kumsaliti akasema: 5 “Kwa nini mafuta haya yenye marashi hayangeuzwa kwa dinari* 300 na maskini wapewe pesa hizo?” 6 Hakusema hivyo kwa sababu aliwahangaikia maskini, bali kwa sababu alikuwa mwizi, naye ndiye aliyetunza sanduku la pesa na alikuwa akiiba pesa zilizowekwa humo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki