Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 26:58
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 58 Lakini Petro akaendelea kumfuata kwa mbali, mpaka katika ua wa kuhani mkuu, na baada ya kuingia ndani, akaketi pamoja na watumishi wa nyumbani ili aone itakavyokuwa.+

  • Marko 14:54
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 54 Lakini Petro akamfuata kwa mbali mpaka kwenye ua wa kuhani mkuu; akaketi pamoja na watumishi wa nyumbani akiota moto mwangavu.+

  • Luka 22:54
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 54 Ndipo wakamkamata,+ na kumpeleka nyumbani kwa kuhani mkuu; lakini Petro alikuwa akiwafuata kwa mbali.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki