Yohana 18:10 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 10 Simoni Petro alikuwa na upanga, basi akauchomoa na kumpiga mtumwa wa kuhani mkuu na kumkata sikio la kulia.+ Jina la mtumwa huyo lilikuwa Malko.
10 Simoni Petro alikuwa na upanga, basi akauchomoa na kumpiga mtumwa wa kuhani mkuu na kumkata sikio la kulia.+ Jina la mtumwa huyo lilikuwa Malko.