-
Yohana 18:10Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
10 Ndipo Simoni Petro, kwa kuwa alikuwa na upanga, akaufuta na kumpiga mtumwa wa kuhani wa cheo cha juu akakatilia mbali sikio lake la kuume. Jina la mtumwa huyo lilikuwa ni Malko.
-