7 Ndipo mwanafunzi ambaye Yesu alimpenda+ akamwambia Petro: “Ni Bwana!” Simoni Petro, aliposikia kwamba ni Bwana, akavaa* vazi lake la nje kwa maana alikuwa uchi,* akajitumbukiza baharini.
20 Petro alipogeuka, akamwona mwanafunzi ambaye Yesu alimpenda+ akiwafuata, yule ambaye kwenye mlo wa jioni alikuwa ameegemea nyuma kifuani pa Yesu, akamuuliza: “Bwana, ni nani anayekusaliti?”