-
Yohana 21:7Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
7 Kwa sababu hiyo mwanafunzi ambaye Yesu alikuwa na kawaida ya kumpenda akamwambia Petro: “Ni Bwana!” Kwa hiyo Simoni Petro, aliposikia kwamba alikuwa Bwana, akajifunga mwenyewe kwa kujizungushia kiunoni vazi lake la juu, kwa maana alikuwa uchi, na kujitumbukiza ndani ya bahari.
-