Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Danieli 3:17, 18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 Ikiwa ni lazima iwe hivyo, Mungu wetu tunayemtumikia anaweza kutuokoa kutoka katika tanuru hilo lenye moto mkali, Ee mfalme, na kutuokoa kutoka mikononi mwako.+ 18 Lakini hata asipotuokoa, Ee mfalme, ujue kwamba hatutaiabudu miungu yako wala kuabudu sanamu ya dhahabu uliyosimamisha.”+

  • Matendo 4:19, 20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 Lakini Petro na Yohana wakawajibu: “Kama ni sawa machoni pa Mungu kuwasikiliza ninyi badala ya Mungu, hukumuni ninyi wenyewe. 20 Lakini sisi hatuwezi kuacha kusema kuhusu mambo ambayo tumeyaona na kuyasikia.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki