Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Matendo 20:2, 3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Baada ya kupitia maeneo hayo na kuwatia moyo kwa maneno mengi wale waliokuwa huko, akafika Ugiriki. 3 Akakaa huko miezi mitatu, lakini kwa sababu Wayahudi walikuwa wametunga hila dhidi yake+ alipokuwa karibu kusafiri kwenda Siria, akaamua kurudi kupitia Makedonia.

  • Matendo 23:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Ilipofika mchana, Wayahudi wakafanya hila na kujifunga kwa kiapo cha laana, wakisema hawatakula wala kunywa mpaka watakapomuua Paulo.

  • 2 Wakorintho 11:23
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 23 Je, wao ni wahudumu wa Kristo? Ninajibu kama mwendawazimu, mimi ni mhudumu kwa njia kubwa hata zaidi: Nimefanya kazi nyingi zaidi,+ nimefungwa gerezani mara nyingi zaidi,+ nimepigwa mara nyingi sana, na kukaribia kufa mara nyingi.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki