Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Luka 24:30, 31
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 30 Naye alipokuwa akila* pamoja nao akauchukua mkate, akaubariki, akaumega na kuanza kuwapa.+ 31 Ndipo macho yao yakafunguliwa kikamili nao wakamtambua; lakini akatoweka.+

  • Yohana 21:13, 14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Yesu akaja, akachukua mkate na kuwapa, na samaki vilevile. 14 Sasa hiyo ilikuwa mara ya tatu+ Yesu kuwatokea wanafunzi baada ya kufufuliwa kutoka kwa wafu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki