-
Marko 14:70Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
70 Petro akakana tena. Baada ya muda mfupi, wale waliosimama hapo wakaanza tena kumwambia: “Hakika wewe ni mmoja wao, kwa maana, wewe ni Mgalilaya.”
-
-
Matendo 1:11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 na kusema: “Wanaume wa Galilaya, kwa nini mnasimama mkitazama angani? Huyu Yesu aliyechukuliwa kutoka kwenu kwenda angani atakuja vivyo hivyo kama vile ambavyo mmemwona akienda angani.”
-