Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Matendo 14:1, 2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 Basi huko Ikoniamu wakaingia pamoja katika sinagogi la Wayahudi, wakazungumza vizuri hivi kwamba umati mkubwa wa Wayahudi na pia Wagiriki wakawa waamini. 2 Lakini Wayahudi ambao hawakuamini wakawachochea watu* wa mataifa na kuwafanya wawachukie akina ndugu.+

  • Matendo 17:4, 5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Kwa hiyo, baadhi yao wakaamini na kujiunga na Paulo na Sila,+ pia umati mkubwa wa Wagiriki waliomwabudu Mungu, vilevile wanawake wengi mashuhuri.

      5 Lakini Wayahudi wakawa na wivu,+ wakakusanya wanaume fulani waovu waliokuwa wakizurura sokoni, wakafanyiza kikundi chenye ghasia kisha wakazusha fujo jijini. Wakaishambulia nyumba ya Yasoni wakitaka Paulo na Sila waletwe nje kwenye kile kikundi.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki