-
Matendo 14:1Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
14 Basi katika Ikoniamu wakaingia pamoja katika sinagogi la Wayahudi na kusema kwa namna ambayo umati mkubwa wa Wayahudi na pia Wagiriki ukapata kuwa waamini.
-