-
Matendo 14:1Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 Basi huko Ikoniamu wakaingia pamoja katika sinagogi la Wayahudi, wakazungumza vizuri hivi kwamba umati mkubwa wa Wayahudi na pia Wagiriki wakawa waamini.
-