Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Matendo 10:44, 45
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 44 Petro alipokuwa akizungumza kuhusu mambo hayo, roho takatifu ikaja juu ya wote waliokuwa wakisikia lile neno.+ 45 Nao waamini* waliotahiriwa ambao walikuwa wamekuja pamoja na Petro wakashangaa, kwa sababu zawadi ya bure ya roho takatifu ilikuwa ikimiminwa pia juu ya watu wa mataifa.

  • Matendo 11:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Lakini nilipoanza kuzungumza, roho takatifu ikaja juu yao kama ilivyokuja juu yetu mwanzoni.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki