Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Matendo 13:4, 5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Basi watu hao waliotumwa na roho takatifu, wakashuka kwenda Seleukia, na kutoka huko wakasafiri baharini kwenda Kipro. 5 Walipofika Salami, wakaanza kulitangaza neno la Mungu katika masinagogi ya Wayahudi. Pia Yohana alikuwa pamoja nao akiwahudumia.*+

  • Wakolosai 4:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Aristarko,+ mateka mwenzangu anawatumia salamu zake, na pia Marko,+ binamu ya Barnaba (ambaye mlipokea maagizo ya kumkaribisha+ ikiwa atakuja kwenu),

  • 2 Timotheo 4:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Luka tu ndiye aliye pamoja nami. Mchukue Marko uje pamoja naye, kwa maana ni mwenye faida kwangu katika huduma.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki