Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Matendo 16:19-21
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 Basi, mabwana zake walipoona kwamba wamepoteza tumaini lao la kupata faida,+ wakawakamata Paulo na Sila wakawakokota hadi sokoni kwa watawala.+ 20 Wakawapeleka kwa mahakimu wa raia, na kusema: “Watu hawa wanasumbua sana jiji letu.+ Wao ni Wayahudi, 21 nao wanatangaza desturi ambazo si halali kwetu kuzikubali au kuzifuata, kwa kuwa sisi ni Waroma.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki