Matendo 17:33, 34 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 33 Basi Paulo akawaacha, 34 lakini wanaume fulani wakajiunga naye na kuwa waamini. Miongoni mwao kulikuwa na Dionisio, aliyekuwa mwamuzi wa mahakama ya Areopago, na mwanamke aliyeitwa Damari, na wengineo.
33 Basi Paulo akawaacha, 34 lakini wanaume fulani wakajiunga naye na kuwa waamini. Miongoni mwao kulikuwa na Dionisio, aliyekuwa mwamuzi wa mahakama ya Areopago, na mwanamke aliyeitwa Damari, na wengineo.