-
Matendo 17:34Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
34 lakini wanaume fulani wakajiunga naye na kuwa waamini, miongoni mwao pia wakiwamo Dionisio, hakimu wa mahakama ya Areopago, na mwanamke mmoja aitwaye jina Damarisi, na wengine mbali na hao.
-