5 Msizozane nao,* kwa sababu sitawapa sehemu yoyote ya nchi yao, hata mahali panapotoshea wayo wa mguu, kwa sababu nimempa Esau Mlima Seiri uwe miliki yake.+
19 Mtakapofika karibu na Waamoni, msiwachokoze wala kuzozana nao, kwa sababu sitawapa ninyi nchi yoyote ya Waamoni ili mwimiliki, kwa kuwa nimewapa wazao wa Loti waimiliki.+