Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Matendo 9:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Bwana akamwambia: “Ondoka, uende kwenye barabara inayoitwa Nyoofu, umtafute mwanamume anayeitwa Sauli, kutoka Tarso,+ kwenye nyumba ya Yuda. Kwa maana tazama! anasali,

  • Matendo 9:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Lakini Bwana akamwambia: “Nenda! kwa sababu mtu huyu ni chombo nilichokichagua+ ili kupeleka jina langu kwa mataifa+ na pia kwa wafalme+ na wana wa Israeli.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki