Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Waroma 2:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Kwa kuwa wote waliofanya dhambi bila sheria wataangamia pia bila sheria;+ bali wote waliofanya dhambi chini ya sheria watahukumiwa kwa sheria.+

  • Waroma 5:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Kwa maana dhambi ilikuwa katika ulimwengu kabla ya Sheria, lakini mtu yeyote hahesabiwi kuwa na dhambi ikiwa hakuna sheria.+

  • Wagalatia 3:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Wote wanaotegemea matendo ya sheria wako chini ya laana, kwa maana imeandikwa: “Amelaaniwa kila mtu asiyedumu katika mambo yote yaliyoandikwa katika kitabu cha kukunjwa cha Sheria kwa kuyatenda.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki