-
Mathayo 1:17Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
17 Kuanzia Abrahamu mpaka Daudi kulikuwa na vizazi 14; kuanzia Daudi mpaka wakati wa kupelekwa uhamishoni Babiloni, vizazi 14; kuanzia wakati wa kupelekwa uhamishoni Babiloni mpaka Kristo, vizazi 14.
-