Isaya 5:11 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 11 Ole wao wanaoamka asubuhi na mapema ili wanywe kileo,+Wanaokawia hadi giza linapoingia jioni mpaka divai inapowawasha!
11 Ole wao wanaoamka asubuhi na mapema ili wanywe kileo,+Wanaokawia hadi giza linapoingia jioni mpaka divai inapowawasha!