Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Matendo 15:22
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 22 Ndipo mitume na wazee, pamoja na kutaniko lote wakaamua kuwatuma wanaume waliochaguliwa kutoka miongoni mwao waende Antiokia pamoja na Paulo na Barnaba; waliwatuma Yuda aliyeitwa Barsaba, na Sila,+ wanaume waliokuwa wakiongoza kati ya akina ndugu.

  • 1 Petro 5:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Kupitia Silvano,*+ ambaye ninamwona kuwa ndugu mwaminifu, nimewaandikia kwa maneno machache, ili kuwatia moyo na kutoa ushahidi kwa bidii kwamba hizi ndizo fadhili zisizostahiliwa za Mungu. Simameni imara katika fadhili hizo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki