Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Matendo 1:10, 11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Nao walipokuwa wakitazama angani akiwa anaenda, ghafla wanaume wawili wenye mavazi meupe+ wakasimama kando yao 11 na kusema: “Wanaume wa Galilaya, kwa nini mnasimama mkitazama angani? Huyu Yesu aliyechukuliwa kutoka kwenu kwenda angani atakuja vivyo hivyo kama vile ambavyo mmemwona akienda angani.”

  • Tito 2:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 huku tukingojea tumaini lenye furaha+ na kufunuliwa kwenye utukufu kwa Mungu mkuu na kwa Mwokozi wetu, Yesu Kristo,

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki