Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Tito 2:3-5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Vilevile wanawake wenye umri mkubwa wanapaswa kuwa wenye tabia ya kumhofu Mungu, wasiwe wachongezi, wala wasiwe watumwa wa divai nyingi, wawe walimu wa yaliyo mema; 4 ili wawashauri * wanawake vijana wawapende waume zao, wawapende watoto wao, 5 wawe na utimamu wa akili, safi kiadili, wanaofanya kazi nyumbani,* wema, wanaojitiisha kwa waume zao,+ ili neno la Mungu lisitukanwe.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki