29 Basi jiji likajaa mvurugo na wote pamoja wakakimbia na kuingia katika ukumbi wa maonyesho, wakiwakokota Gayo na Aristarko,+ Wamakedonia waliokuwa wakisafiri pamoja na Paulo.
2 Tukapanda meli kutoka Adramitiamu iliyokuwa karibu kusafiri kwenda kwenye bandari zilizo kando ya pwani ya mkoa wa Asia, tukaanza safari; naye Aristarko+ Mmakedonia wa Thesalonike, alikuwa pamoja nasi.
10 Aristarko,+ mateka mwenzangu anawatumia salamu zake, na pia Marko,+ binamu ya Barnaba (ambaye mlipokea maagizo ya kumkaribisha+ ikiwa atakuja kwenu),