Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 27:38-40
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 38 Esau akamwambia baba yake: “Baba, je, una baraka moja tu? Nibariki mimi, naam, mimi pia, baba yangu!” Ndipo Esau akalia kwa sauti kubwa na kububujikwa na machozi.+ 39 Basi Isaka baba yake akamwambia:

      “Tazama, makao yako yatakuwa mbali na udongo wenye rutuba duniani, na mbali na umande wa mbingu.+ 40 Na kwa upanga wako utaishi,+ nawe utamtumikia ndugu yako.+ Lakini utakaposhindwa kuvumilia, hakika utaivunja nira yake kutoka shingoni mwako.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki