Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 18:2, 3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Akainua macho yake na kuwaona wanaume watatu wakiwa wamesimama umbali fulani kutoka kwake.+ Alipowaona, alikimbia kutoka kwenye mlango wa hema na kwenda kuwapokea, naye akainama mpaka chini. 3 Kisha akasema: “Yehova, ikiwa nimepata kibali machoni pako, tafadhali usinipite mimi mtumishi wako.

  • Mwanzo 19:1-3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 Wale malaika wawili wakafika Sodoma jioni, na Loti alikuwa ameketi katika lango la Sodoma. Loti alipowaona, akasimama ili awapokee, akainama chini kifudifudi.+ 2 Naye akasema: “Tafadhali, bwana zangu, tafadhali, karibuni nyumbani mwangu mimi mtumishi wenu, mlale hapa usiku wa leo, nasi tuioshe miguu yenu. Kisha mnaweza kuamka asubuhi na mapema na kuendelea na safari yenu.” Wakamwambia: “Hapana, tutakaa usiku kucha kwenye uwanja wa jiji.” 3 Lakini akawasihi sana hivi kwamba wakaingia pamoja naye ndani ya nyumba yake. Kisha akawaandalia karamu, akaoka mikate isiyo na chachu, nao wakala.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki