Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 17:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Sura yake ikageuka mbele yao; uso wake ukang’aa kama jua, na mavazi yake ya nje yakang’aa* kama nuru.+

  • Marko 9:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Siku sita baadaye Yesu akaenda pamoja na Petro, Yakobo, na Yohana kwenye mlima mrefu wakiwa peke yao. Sura yake ikageuka mbele yao;+

  • Luka 9:29
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 29 Alipokuwa akisali uso wake ukabadilika, mavazi yake yakawa meupe na kuanza kumetameta.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki